RATIBA YA MDAHALO WA
KITAALUMA JUU YA SIKUKUU YA KUMUENZI BABA WA TAIFA LETU LA TANZANIA MWL. JULIUS
KAMBARAGE NYERERE
ITAKAYOFANYIKA CHUO CHA
LIONESS WILDLIFE TRAINING CENTRE, KARATU, SIKU YA JUMAPILI TAREHE 14/10/2012
MUDA
|
TUKIO
|
MHUSIKA/WAHUSIKA
|
01:00 – 02:00
|
Wageni pamoja na wajumbe wote wa
mdahalo kufika mazingira ya Lioness na kuingia kwenye ukumbi wa mdahalo
|
wote
|
02:00 – 02:10
|
Utambulisho wa wajumbe waliohudhuria
mdhahalo na ufunguzi rasmi wa mdahalo
|
Mwenyekiti wa mdahalo
(Mkuu wa chuo Lioness)
|
02:10 – 02: 40
|
Mada kuwasilishwa juu ya kumbukumbu ya
baba wa taifa la Tanzania. Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere
|
Mr Kisando Nina
( Mkuu wa Chuo Lioness)
|
02:40 – 03:00
|
Maoni kutolewa
|
Wajumbe upande wa meza kuu
|
03:00 – 03:50
|
Mdahalo kuendelea
|
wote
|
03:50 – 04:00
|
Taarifa mbalimbali, shukrani na
kuhitimisha mdahalo
|
Viongozi/wawakilishi na
mwenyekiti kufunga mdahalo
|