
![]() |
|||
![]() |
Office
contacts: mobile: +2557 8616 4015 11/10/2012
+2557
6838 1469
Email: lionesswildlife@gmail.com
MWAALIKO
KWENYE MDAHALO WA KITAALUMA JUU YA SIKUKUU YA KUMUENZI BABA WA TAIFA
LETU
MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Husika na mada tajwa
hapo juu, kwa kuzingatia umuhimu wa kuwaenzi viongozi mashuhuria na waliotumia nafasi
zao katika kupigania haki, usawa na uhuru Tanzania, Afrika na Duniani kwa
ujumla, LIONESS WILDLIFE TRAINING CENTRE
KARATU imeandaa mdahalo wa kitaaluma kwa lengo la kuwakutanisha wanavyuo wa
Vyuo vya kati mbalimbali hapa karatu mjini wakiwa kama wataalam chipukizi wa
taifa hili kujumuika pamoja na kujadili nafasi ya baba wa taifa katika
maendeleo ya taifa letu, Afrika na Duniani kwa ujumla, katika Nyanja za
Kihistoria, kiuchumi, kisiasa na kijamii. Mdahalo utafanyika siku ya jumapili
tarehe 14/10/2012 ambayo ni siku aliyofariki dunia.
Muda wa mdahalo: 2:00
mchana hadi 4:00 jioni
Mahali: CHUO CHA LIONESS
WILDLIFE TRAINING CENTRE
“MAENDELEO
YA TAIFA HUCHOCHEWA NA WANATAALUMA WAZALENDO KWA KUREJEA MITIZAMO ZA WAASISI WA
TAIFA”
MKUU WA CHUO LIONESS
WILDLIFE TRAINING CENTRE
Mr
Kisando Nina
No comments:
Post a Comment